Uzi wa kwanza baada ya JamiiForums kurudi, ulimmiss nani na nini?

Uzi wa kwanza baada ya JamiiForums kurudi, ulimmiss nani na nini?

nimenunua sana magazeti ya mwananchi.
bora mmerudi. tumemiss vingi sana hasa bunge
 
Namba ya simu ina matumizi mengi sio kutongozana tu. Nafikiri umuhimuvwa kupeana namba mmeuona sasa.
Kuna wambea huko walipo walikuwa kidogo wafe kwa kumiss jf
Hakika ni kweli hebu mkuu prondo nipatie namba yako
 
Back
Top Bottom