Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ina uhusiano wowote na zacharia? Nauliza tu wakuu sina nia mbayaAhahahaha mwigulu katumbuliwa huko
Hakika ni kweli hebu mkuu prondo nipatie namba yakoNamba ya simu ina matumizi mengi sio kutongozana tu. Nafikiri umuhimuvwa kupeana namba mmeuona sasa.
Kuna wambea huko walipo walikuwa kidogo wafe kwa kumiss jf
Sasa hiviimerudi leo?
Cheki PMHakika ni kweli hebu mkuu prondo nipatie namba yako
Hapana Ilirudi Jana Usiku....[emoji6]imerudi leo?
anhaa kumbe aiseeHapana Ilirudi Jana Usiku....[emoji6]
Server za JF zinapata tabu sana baada ya vyuma kuachia[emoji41] [emoji41] [emoji12] [emoji12] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji1]Nyuzi zinamiminika kama mvua
Baby shem[emoji13] [emoji13]
MwifaHaya haya wakuu tuambizane ,kipindi JF ilipofungiwa kwa wiki tatu hizi ni member yupi ulimmiss sana na kwa nini?
nakuona nakuonaaaaBaby shem
Aaah hatimaye tumerejea home..kule kenya majanganakuona nakuonaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Em nijaribu kukomenti
Jose I missed you brotherimerudi leo?