Uzi wa ma-lastborn tu

Sorry, hivi mnaongelea wale ambao bado mnaishi kwa wazazi ??, kwa sababu mkishaanza kujitegemea ulastborn wako utamfanyia nani ?.
Ukiwa last born unakuwa na nafasi ya kudekezwa hata ukiwa na familia yako, yaani ndugu zako wote wanakuona bado upo mdogo mno na wanaamini ni katoto.
 
Ukiwa last born unakuwa na nafasi ya kudekezwa hata ukiwa na familia yako, yaani ndugu zako wote wanakuona bado upo mdogo mno na wanaamini ni katoto.
So true
Mfano ukitoka out ukachelewa kurudi wakubwa zako wanalalamika mno inanikera hii tabia .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hadi namaliza Advance 2018 nna miaka 19 ilikua mtu akinywa maziwa yangu,utamskia mama "Nani kanywa maziwa ya Mtoto?"
 
Mimi hadi leo hii nina familia yangu lakini kwa mama bado ni mtt huwa anahakikisha nimekula ontime na kulala hata nikisafiri mbali hunipigia kukumbusha kunywa maji na kula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…