Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Kwani kuna ubaya gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo nao mikoa tofauti, ila madeko bado yanasoma.Unajitegemea kiaje ?, na je huko ulipo una unamdekea ?, nijuavyo mimi toto huwa linadeka kwa wazazi wake
Kwetu tumezaliwa sita bahati nzuri wote mapacha so tumekuwa pamoja chansi ya kupendelewa haikuwepo labda kwa pacha mkubwa lakini wengine maisha yameenda sawa ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wanajikutaga ni wazazi wetu walah!!!Uwiiii yaani hapo nakuunga mkono na mguu mama, nilijuaga ni first born wetu tu ndiyo yuko hivyo kumbe karibu wote ndivyo walivyo.
Asantee naja fastaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Karibu mamiii....leo nakunywa za mwisho
Unaelewa nini we mbaba?
Me anafurahia kudekezwa na utu uzima wakeNilikuwa sipigwi kama mzee akiwepo ila akitoka naoga vya mbwa koko, nikifanya kosa mzee ananitetea, Mzee alikuwa ananipa nyama nzuri nzuri kama mapaja ya kuku[emoji16][emoji16]..
December nilipata likizo kazini baada ya mia 3 kutoenda nyumbani ile nafika naambiwa kuna mbuzi kwa ajili yako mwanangu(mzee alisema), baada ya mbuzi kuchinjwa siku ya x-mass nikaambiwa chukua nyama uchome tani yako hapo nimeletewa kreti la soda..
Tarehe 26 mzee wangu akaagiza Sato wakubwa hatari kama kichwa cha kiduku Lilo
Mpaka hapa nilipo mzee wangu amenichapa mara mbili tu, ila nilikuwa napewa kichapo heavy kutoka mama.. My mom kwa sasa na yeye ananidekeza hatari na ukubwa wote huu, kiufupi nadekezwa sana dada zangu pia.
Kipindi naanza kazi kabla ya salary kutoka my sister alikuwa anitumia pesa pasipo kumuomba..
Mpaka sasa nadekezwa sana na wazazi na dada zangu ila sio kaka zangu.
Kuwa lastborn raha sana
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mtusaidie kusoma comments[emoji3526]Hivi na wale ambao hatujijui ni last wala ni first kwa sababu maalumu tunakomenti wap
Sent using Jamii Forums mobile app