Aaah mtoto![emoji1787]Mimi juzi tu nimerudi nyumbani kusalimia mama akachinja kuku..anasema ale mtoto tu[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumbani hakuna Kama last born.Kwenye familia yetu favor zote nakula Mimi firstBorn.
Ndio ila ulikuwa wizi wa hela nimeshakuwa Sasa tabia imekufa ila shilingi kumi na shilingi ishirini na Silva nyengine zilinikoma wakati huo😜Huo wizi sasa
Social havipo dada kula unenepe kama mm sasa uwe na kitambi kama Lodilofa😂😂Mimi juzi tu nimerudi nyumbani kusalimia mama akachinja kuku..anasema ale mtoto tu[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Social havipo dada kula unenepe kama mm sasa uwe na kitambi kama Lodilofa[emoji23][emoji23]
SwadaktaSema ukiwa last born bana kila MTU Ana taka kua na maamuzi juu yako kisa ww ni mdogo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kalikuwa kauni haka
Kero ni kutumwa na kila mtu kisa wewe ndio mdogo[emoji134]
Dada yangu ilikuwa nikijua leo anapika nilikuwa namkimbia maana kutumwa hakuishi unapeleka hiki hujakaa chini tena lete kile[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Haki malast born tunaonewa sana, wakati sisi ndio tunalundikiwa mikazi yote, utasikia 'yaani mimi nipike wewe upo'? Acheni mambo hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nakumbuka kuna siku kabla sijatoka home dogo alinikuta sebuleni naangalia kideo npo bize hatari flash yenyewe nliazima kwa mwana dogo akaja akabadilisha nkamzaba Kofi akaanza kulia aiseee jinsi ambavyo maneno yalimtoka Bi mkubwa dah jioni kuja kushtaki kwa mzee nikaambulia kuambiwa''kwani luku ulinunua wewe we unafanya kazi hela zako si unakunywa bia nenda kaangalie movie zako huko huko bar''Kidume nikaona ninyamaze mambo yasiwe mengi
Yanakuwaga machokozi halafu ukiyadunda utasikia mama mtoto anaonewa.
Ndio maana unadekaga umu kwenye threads [emoji16]View attachment 1384357
Lastborn wana raha utasikia mwacheni mtoto
Hata akiwa mkate mzima wengine mkose hata hafokewi sasa kula wewe ambae wa pili kuzaliwa utaona cha mkutema kuni [emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kero ni kutumwa na kila mtu kisa wewe ndio mdogo[emoji134]
[emoji122][emoji122][emoji122]Firstborn acha tuwe wasoma comments tu
Mwanaume kupika chapati hiyo Kali.Usiombe ukutane na lastborn wa familia yetu. Ni wa kiume na anajua hadi kupika chapati.
Unaleta mchezo nini, umezaliwa dada zako wako boarding school na wengine tumeolewa. Na vile wazazi wameamua asome day kwa sababu ni katoto ka mwisho msoto wake si wa kitoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha.... tupo tupooooo!!
Mimi ni last born pia, yaani enzi hizo tunakuwa, home ilikua hata kama watoto kuna kitu mnataka, mimi ndo naagizwa niende kuomba, maana inajulikana ndo chances za kukubaliwa zinakua highest!! Dinazarde