Uzi wa ma-lastborn tu

Uzi wa ma-lastborn tu

Tena sisi mafesti boni ndo tumeteseka sana nao hawa... yaani tuligeuzwa wazazi wao... Kakiumwa tu utasikia... mpeleke mtoto hospitali, kakilia kisa vyombo vya kuosha ni vingi utasikia msaidie mtoto kachoka... etc. YAANI ILIMRADI BALAA

Na kuwasomesha wazazi wakiwa hawapo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji2]
Screenshot_20200311_205041~2.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app by My phone
 
Huwa hawapati maendeleo..wakipata ni wamwishoooo kupata..

Hata awe nawenzake alafu yeye ndo mkubwa..bado atajiona Mdogo.


Ni tabu sana ukiwaoa....kidogo tu kakimbilia kwao


Ndio sababu wengi wao ni Ama

Wana ishi kwao ...au kwake lkn mwenyewe na mtoto/watoto wake.
 
Kwahiyo kwakua huna dogo umeamua unipe mie hilo jina lol[emoji134][emoji134][emoji134]

Pampula unadeka bwana ndio maana ulisema umeacha pombe now unakunywa bia tu.
Karibu mamiii....leo nakunywa za mwisho
 
Kuwaziidi first born


Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio, kulingana na umri, binafsi firstborn wetu alishafariki, second born alishafariki, waliobaki kila mmoja na familia yake, mzigo mkubwa uko kwa lastborn kwa vile kama familia basi wala haizidi miaka 10 tangu niwe nayo.

ᴱᵛᵉʳʸᵇᵒᵈʸ ˡᵒᵛᵉˢ ᵃ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ [emoji377]
 
Back
Top Bottom