Uzi wa ma-lastborn tu

Uzi wa ma-lastborn tu

[emoji23][emoji23]Kalikuwa kauni haka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ndio Babaaa umecheza heko aisee

Ndio hivyo banha
Mimi nyuma Nina wadogo 5
Wakiume 1 wakike 4
Am deputy Parent [emoji848]

Yani Mimi ni Makamu Mzazi
Nawaona ma Last born wamekaa kidenzi Sana Hata kama ni mtu mzima
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mimi nakumbuka kuna siku kabla sijatoka home dogo alinikuta sebuleni naangalia kideo npo bize hatari flash yenyewe nliazima kwa mwana dogo akaja akabadilisha nkamzaba Kofi akaanza kulia aiseee jinsi ambavyo maneno yalimtoka Bi mkubwa dah jioni kuja kushtaki kwa mzee nikaambulia kuambiwa''kwani luku ulinunua wewe we unafanya kazi hela zako si unakunywa bia nenda kaangalie movie zako huko huko bar''Kidume nikaona ninyamaze mambo yasiwe mengi

Hahaha acha tu uliondoka mpolee


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiombe ukutane na lastborn wa familia yetu. Ni wa kiume na anajua hadi kupika chapati.
Unaleta mchezo nini, umezaliwa dada zako wako boarding school na wengine tumeolewa. Na vile wazazi wameamua asome day kwa sababu ni katoto ka mwisho msoto wake si wa kitoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume kupika chapati hiyo Kali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom