Uzi wa ma-lastborn tu

Uzi wa ma-lastborn tu

Tunatumwa Sana
Mimi nadhani Ni housegirl wa dada zangu..ikafika muda nikawa mkali maana nilikuwa naendeshwa Kama gari bovu.

Unakuta unaagizwa kitu dukani,unajrudi Mara unaambiwa tulisahau hiki nenda Tena...Mimi nilikuwa nawaambia ukiona umenituma kitu ukasahau kngine Basi uende mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lastborn jeuri kwa wakubwa zake[emoji3] walikuwa hawakutwangi kofi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lastborn jeuri kwa wakubwa zake[emoji3] walikuwa hawakutwangi kofi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Lastborn wetu ni kajeuri mama anasemaga tumuite kaka kisa tuliomtangulia wote KE...kuna siku alinizingua nilikachapa mpaka nikamuonea huruma baadaye ( ni mlevi wa kiepe yai nikambeba nikaenda kumnunulia urafiki ukarudi.
Halafu nachompendea hasira yake haikai sio kama Mimi ukinizingua nanuna balaa
 
Mimi najua ungekuwa kaziwanda na wewe
Dada nitake radhi 😀😀😀 we ndio mlaini mlaini
Nyie madada ndio mlikuwa mstari wa mbele kutubebelea last born kwenda kuzurura utafikiri tulikuwa walinzi wenu! Hapo mnapata na utetezi kuwa ulikuwa na mdogo wako hivyo hukupita chocho mbaya! Na sisi tulivyomaboya ukitununulia pipi tu hatusemi chochote 😂 ila Sasa zingua uone siri zake zinavyochomoka utajua tu huyu mdogo wako ni chombo cha habari au chombo cha baharini😂
 
Lastborn wetu ni kajeuri mama anasemaga tumuite kaka kisa tuliomtangulia wote KE...kuna siku alinizingua nilikachapa mpaka nikamuonea huruma baadaye ( ni mlevi wa kiepe yai nikambeba nikaenda kumnunulia urafiki ukarudi.
Halafu nachompendea hasira yake haikai sio kama Mimi ukinizingua nanuna balaa
[emoji3][emoji3][emoji3]aisee kweli ulikachapa mpaka ukaamua kukapooza kwa kiepe.
Huyo mama nae anazingua yani dogo aitwe kaka[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenzenu alijidai anajua sana kudeka, ikabidi nimuwekee ratiba ya makwenzi, tukipishana namfinya hata bila kosa, pamoja na bakora za hapa na pale. Nikamuambia utadeka na kuleta jeuri muda mchache wazee wakiwepo, ila wakitoka unalo pumbaf. Toto lilikua jeuri lile!
 
Nyie madada ndio mlikuwa mstari wa mbele kutubebelea last born kwenda kuzurura utafikiri tulikuwa walinzi wenu! Hapo mnapata na utetezi kuwa ulikuwa na mdogo wako hivyo hukupita chocho mbaya! Na sisi tulivyomaboya ukitununulia pipi tu hatusemi chochote [emoji23] ila Sasa zingua uone siri zake zinavyochomoka utajua tu huyu mdogo wako ni chombo cha habari au chombo cha baharini[emoji23]
Na mlivyo wambeya sasa [emoji1787]
 
Hongereni ma last born wote kwa kutokula misoto mikali as ma first born tuliyoila .. Wengi wenu ma last born mmezaliwa wakati majumbani kwenu kumeanza kua na neema.

*Last born wetu ni wa kiume wakati mdogo mzee alikataza wadogo zangu wa kike na dada wa kazi kumsafisha akiachia vitu (k!mb@) nikapewa mimi hicho kitengo.. Aiseh ilikua balaa maana nilikua na jikoki ni kama najikinga na corona, pua na mdomo naziba na nguo, mkononi navaa softi, I was just a boy pia nilikua na kinyaa ingawa dogo nae alikua anashusha vitu vyenye tbs.. Nashukuru Mungu amekua mkubwa na anataka awe pilot.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie madada ndio mlikuwa mstari wa mbele kutubebelea last born kwenda kuzurura utafikiri tulikuwa walinzi wenu! Hapo mnapata na utetezi kuwa ulikuwa na mdogo wako hivyo hukupita chocho mbaya! Na sisi tulivyomaboya ukitununulia pipi tu hatusemi chochote 😂 ila Sasa zingua uone siri zake zinavyochomoka utajua tu huyu mdogo wako ni chombo cha habari au chombo cha baharini😂
Hahaha
Me nilikuwaga sifanyi hizooo
 
Back
Top Bottom