🤣🤣🤣Ndioooo ndiooooo!! Ndiomana hata wewe ni mlaliniiiiiii! Uko vizure!
Mweh vya kuchaga sivijui uduguuu cousin Missy Gf atusaidie alisema yupo huko kama sijakosea!!
Mi kwenye mapishi mtupuuuuu🤠🤠🤠🤠🤠🤠🤣!
Hahaha aseme nimtupie recipe ya nini...kichuri au mtori 😋au loshoroMweh vya kuchaga sivijui uduguuu cousin Missy Gf atusaidie alisema yupo huko kama sijakosea!!
Mi kwenye mapishi mtupuuuuu🤠🤠🤠🤠🤠🤠🤣!
! Ugali najuaaa🤣🤣🤣🤣🤠🤠🤠🤠🤠🤣!🤣🤣!🤣🤣🤣 Unajua kupika ugali wa kisukuma!!
miss Gf ni mhaya yeye anifundishe katerelo shosti yangu
Uko vizure cousin hongeraaa.. uduguuu anataka umpe kozi ya katererooooo kwanzaaaa! Achiiiiiiiiiii!!😛Weeee mimi jiko naliweza shogaangu....mama raised no fool hadi chapati za kusukuma nasukuma vizuri sana
Wacha wee!! Emu nije unifundishe shosti yangu nisije kuaibikaWeeee mimi jiko naliweza shogaangu....mama raised no fool hadi chapati za kusukuma nasukuma vizuri sana
Inabidi nimfanyie kwa vitendo aje na mwenzake lakini 😝Uko vizure cousin hongeraaa.. uduguuu anataka umpe kozi ya katererooooo kwanzaaaa! Achiiiiiiiiiii!!😛
Nikuandalie online class 😆😆😆 utalipia laki tu kwa sababu ni wewe 🤭Wacha wee!! Emu nije unifundishe shosti yangu nisije kuaibika
Mimi sitaki recipe, nataka nije nione live bampa to bampa hivyo vichuri na loshoro bwana asinikimbie wala ukweni nisichekwe 🤣Hahaha aseme nimtupie recipe ya nini...kichuri au mtori 😋au loshoro
😂😂Kuwachanganya wanaume gani nduguzangu Hawa ambao wameshachanganyikiwa 😂😂😂! Ugali najuaaa🤣🤣🤣🤣🤠🤠🤠🤠🤠🤣!🤣🤣!
Hahaa namie saivi kartexxx naimanyaaa usintanieee weeee😛😛!!
Itabidi one day tuwe wageni wa Aaliyyah atupe kozi fupi ya kumchanganya mwanaume jikonii lol!!
Si wanasema mwanaume kwanza ashibeeee uduguuu???🤠!
Haina noma subiri nirudi mjini nitakutumia locationMimi sitaki recipe, nataka nije nione live bampa to bampa hivyo vichuri na loshoro bwana asinikimbie wala ukweni nisichekwe 🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nimecheka kwanguvuuu walahii nyieeee🤣🤣🤣🤣😁!😂😂Kuwachanganya wanaume gani nduguzangu Hawa ambao wameshanganyikiwa 😂😂😂
Ewaaaah!! Wewe nipe kozi ya katerelo, mwenzio ya jikoni.! Ugali najuaaa🤣🤣🤣🤣🤠🤠🤠🤠🤠🤣!🤣🤣!
Hahaa namie saivi kartexxx naimanyaaa usintanieee weeee😛😛!!
Itabidi one day tuwe wageni wa Aaliyyah atupe kozi fupi ya kumchanganya mwanaume jikonii lol!!
Si wanasema mwanaume kwanza ashibeeee uduguuu???🤠!
🤣🤣🤣🤣 Hiyo ndio muhimu kwanzaUko vizure cousin hongeraaa.. uduguuu anataka umpe kozi ya katererooooo kwanzaaaa! Achiiiiiiiiiii!!😛
😂😂😂Au Mimi ndo ninawaona vibaya nyie wenzangu mnawaonaje🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nimecheka kwanguvuuu walahii nyieeee🤣🤣🤣🤣😁!
Kabisa inabaki kazi kwako tu!Ewaaaah!! Wewe nipe kozi ya katerelo, mwenzio ya jikoni.
Nikitoka hapo nimekwiva jikoni na kitandani😂😂😂
We Thubutuuuuu!!! 😂😂😂Inabidi nimfanyie kwa vitendo aje na mwenzake lakini 😝