Uzi wa mafumbo (riddles)

Nitawaambia sisi sio watu bali ni Vibwengo kama nyie.
Hiyo statement ni uongo...kwahiyo watamuachia mdogo wako utaondoka naye...lakini kaka ako ataliwa
 
Uko good citizen b embu tuone hapa



I never was, am always to be ,
No one ever saw me ,nor ever will,
And yet I am the confidence of all to live and breathe in this terrestrial planet

What i'am ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko good citizen b embu tuone hapa



I never was, am always to be ,
No one ever saw me ,nor ever will,
And yet I am the confidence of all to live and breathe in this terrestrial planet

What i'am ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeishindwa hii?
 
Lipo walimuuliza yule god of wisdom hiyo riddle ikawa kama key ili wapite sehem
Hvi kwenye gods of Egypt hili riddle lipo kumbe bora ningejua nisingelitoa

Embu tupe jibu LA lakwako kwanza. Lile LA nyasi

Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu hili apa kuna watu washapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…