Uzi wa malalamiko kwa watu ama taasisi unazodhani zinastahiki kulaumiwa kwa Yanga SC kukosa kombe msimu huu

Una lazimisha furaha wewe...yani FA unafananisha na ligi? Uko sawa kweli?
 
Una lazimisha furaha wewe...yani FA unafananisha na ligi? Uko sawa kweli?
FA na Ligi kuu ni tofauti lakini ni bora kumaliza misimu kwa kubeba mkombe muhimu kama FA kuliko kumaliza msimu bila kombe lolote lile. Hata ulaya ipo hivyo kwamba target ya kwanza ni ubingwa wa ligi, ukikosa ligi basi kwenye msimamo uwepo hata nafasi ya pili na kisha kupambana kupata makombe mengineyo mbali na la ligi kuu. Italy kuna kombe la copa italy, Spain Kuna copa de ray, Germany kuna DFL cup, uingereza kuna Emirates FA cup na michezo yote hiyo inamfanya bingwa apate nafasi ya kucheza michuano ya kimataifa (Europa league)
Lengo la kwanza la timu ni kuhakikisha anabeba kila aina ya trophy iliyopo mbele yake.
 
Alaumiwe mzee mpili maana alitudanganya ana mganga was kila mechi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…