Latwifa Nkingwa
Member
- Mar 27, 2019
- 40
- 32
Kumbe kipato Milioni moja na kuendelea , Basi tufuanzishie sisi wenye account zinazosoma Milioni+++++
Driver using BMW X6
Hapa ni kwa madon tu ukiona kipato chako ni chini ya milioni moja fanya kupita hivi Nenda kule kwa Makapuku Forum
CC Zero IQ
hahaha sawa chief...acha niwe msomaji labda na mimi nitakuwa millionaire siku moja.Hapa ni kwa madon tu ukiona kipato chako ni chini ya milioni moja fanya kupita hivi Nenda kule kwa Makapuku Forum
CC Zero IQ
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Unaweza ukawa na milioni per month ila matatizo yako ni zaidi ya anayepata 250k
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmmmmh wengne tutasubili sanaHapa ni kwa madon tu ukiona kipato chako ni chini ya milioni moja fanya kupita hivi Nenda kule kwa Makapuku Forum
CC Zero IQ
Hapa ni kwa madon tu ukiona kipato chako ni chini ya milioni moja fanya kupita hivi Nenda kule kwa Makapuku Forum
CC Zero IQ
He mamilionea wanabeti Jamani.Huu uzi ungepost jukwaa la kubet kule ndio mamilionea tupo wengi.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wakulonga mi naona kama unaboda boda Usivae helment na leseni iache nyumbani kisha endesha hiyo bodaboda ukisimamishwatu na polisi simama hapo ndio utajua kianzio hua ni shilingi ngapiMimi naomba kuuliza ili niweze omba ulinzi wa jeshi la polisi natakiwa niwe na kianzio shilling ngap
Hapo pembenitu kushoto kwako mkuuSisi maelfuonea tukomenti wap??