KhaaaaaaNimefarijika sana kuuona huu Uzi kule makapuku sijwahi kuingia na siwezi kuingia mimi nisije nikapata laaana bure [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nn mnatubagua etiNendeni makapuku
CC Zero IQ
Lile jina tuSi mna uzi wenu kule makapuku forum mkuu
CC Zero IQ
Zangu kwa kuwa mi ndio nazimiliki na kuzifanyia matumiziKila mtanzania kwa sasa anadaiwa.
Nchi kwa sasa inadaiwa trilioni 60+, wakat income yetu kwa mwaka haifiki trilion 30.
Kwa io hata uwe na milioni kadhaa jua sio zako.
Sister mi kule sifiki kabisaaaa halaf naskiaga we ndo montress kuleKhaaaaaa
Ubusy hata Jpilimamilionea wenzangu nilikuwa busy nimechelewa kusoma uzi huu.....ngoja niendelee na majukumu nitarudi kwenye uzi huu mwezi ujao. mamilionea tuko busy sana ila makapuku mbona wote wapo free
Sent using Jamii Forums mobile app