Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Ndio Ndio Mpwa...
Hilo eneo nimelipenda kupindukia yan dah! Nikifika maeneo km hayo huwa nasahau kila kitu
Nipo Dar naomba gharama za kufika huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu uzi ni mzuri maana miye nilifika Muheza nikaboreka bora tujue hivi vivutio km mfuko inaruhusu unaenda.
Ukitaka kufika huko inakuaje wakuu Idimi bukoba boy
Yeah nakumbuka mtae, nadhani ni kijiji before mambo kitu kama hiko.
Lushoto kuna mandhari mazuri aisee.
Hapa ni Katavi National Park pale Darajani kabla ya kuanza Lami kuelekea Kigoma, hao ni BokoView attachment 1359962
Kitochi Original
Nitakuja kuweka mapicha hapahapa. Tuombe uzima tuu. HahahaaI see ebu tushirikishane basii, au ndio tusubiri mapicha picha tu 😂😂
Nitakuja kuweka mapicha hapahapa. Tuombe uzima tuu. Hahahaa