Uzi wa Matembezi (Travel & Vacations) na Vivutio vya Utalii nchini Tanzania

Uzi wa Matembezi (Travel & Vacations) na Vivutio vya Utalii nchini Tanzania

Siku Nzuri, Usilie kwa kuwa Zimepita Bali ufurahi kwa kuwa zilikuepo!
2017-05-09-1.jpeg
2017-05-09.jpeg


Kitochi Original
 
Huu uzi ni mzuri maana miye nilifika Muheza nikaboreka bora tujue hivi vivutio km mfuko inaruhusu unaenda.

[emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli kabisa nimeenda zaidi ya mara kumi na sijawahi kusikia hiyo sehemu
Bora hata wangekuwa wanaweka mabango ya vivutio kila stendi au mijini ili ukipita unaona
Sasa kuna sehemu humu watu wameweka picha utafikiri Amazon kumbe Tz


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Depends unatokea wapi na una usafiri gani (private ama public). Kama unatokea Mwanza/Shinyanga/Tabora/Njombe/Songea/Tanga/Dodoma/Iringa nk, unapanda mabasi ya kwenda Mbeya mjini.

Ukifika Mbeya mjini unapanda mabasi yanayokwenda Kyela, ambako nako utapanda mabasi ya kwenda Matema. Ukitokea Dar unapanda mabasi ya moja kwa moja kwenda Kyela kama vile Newforce, Kyela Express, Majinja, Rungwe Express nk.

Ukifika Kyela unapanda magari ya kwenda Matema ziwani. Kwa private car unaendesha mpaka Uyole, then unachukua njia ya Kyela hadi ziwani Matema.

Kwa wanaopita hewani (ndege), unapanda ndege mpaka uwanja wa ndege Songwe Mbeya. Then unapanda mabasi ya Kyela, then hadi ziwani Matema
Ukitaka kufika huko inakuaje wakuu Idimi bukoba boy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka ile ya Man Alone... Yaani Jeshi LA MTU mmoja! Hapa nilienda kuchimba dawa! Hii ni Mlandizi to Maneromango to Kisarawe then Dar! Pori kwa Pori. I wish...
PicsArt_02-17-12.13.27.jpeg
PicsArt_02-17-12.12.03.jpeg


Kitochi Original
 
Lushoto to Mombo....hapa unaitizama Mombo kwa chini kuleee! Hii kona Kali sana. Lazima nisimame hapa nichimbe dawa.
PicsArt_02-17-12.07.46.jpeg
PicsArt_02-17-12.01.27.jpeg
PicsArt_02-17-12.09.40.jpeg


Kitochi Original
 

Attachments

  • PicsArt_02-17-12.07.46.jpeg
    PicsArt_02-17-12.07.46.jpeg
    69.6 KB · Views: 26
Back
Top Bottom