Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
Mdabulo ipo wilaya ya Mufindi mkoa wa Iringa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkoa/wilaya gani hii mkuu???
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkoa/wilaya gani hii mkuu???
Kutamu sanaKitambo sanaa mzee, nilipenda hali ya hewa ya kule kwakweli, ni sehemu nzuri kuishi pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kyela,Matema Beach Mkoani Mbeya. Sehemu za watalii wa nje zipo na hata maeneo ya wananchi pia yapo.View attachment 1359870
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wakati wengine tunajiuliza sijui tukagongee Banana wengine wanagongea sehemu nzuri hivi na kuzidi!
I spent a night kwenye ile hotel ya Mwamunyange.....can't forget that nightKyela,Matema Beach Mkoani Mbeya. Sehemu za watalii wa nje zipo na hata maeneo ya wananchi pia yapo.View attachment 1359870
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingependeza zaidi kama ingekua ni picha za kupigwa na sie wenyewe wana JF sio hizo edited na professionals.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kunaonekana ni tulivu sanaa. Nimepaelewa.Kyela,Matema Beach Mkoani Mbeya. Sehemu za watalii wa nje zipo na hata maeneo ya wananchi pia yapo.View attachment 1359870
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka kufika huko inakuaje wakuu Idimi bukoba boyNilikua hapo kunako 2005. Kulikua na hoteli moja tu hapo those daya. Pazuri sana kwa utalii
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂 kuzidiana kupo mkuu, na malengo piaYaani wakati wengine tunajiuliza sijui tukagongee Banana wengine wanagongea sehemu nzuri hivi na kuzidi!
Nilikua hapo last year,view moja tamu sana ,Lushoto_mtaeHii ni Lushoto Tanga, kijiji kimoja kinaitwa "mambo" ukiweza kufika hapa si tu utaenjoy hali ya hewa safi ya ubaridi bali utaweza kuona view nzuri ukiwa juu ya miinuko ya mambo.View attachment 1358567View attachment 1358568View attachment 1358571View attachment 1358573
Sent using Jamii Forums mobile app
Fika saadan mkuu uone simba beachJanuary nilikuwa tanga muheza na tanga mjini nilifurahi kujionea mazingira mapya katika macho yangu.
Feb nimeplan kuwa bagamoyo sijui hapa ni mahali gani sitakiwi acha kufika kujionea vitu.
kusafiri /kutembelea maeneo ni rahisi ukijiwekea mipango