The Overhang, Kigamboni
Kwa wakazi wa dar es salaam, maeneo ya karibu ama mgeni uliekuja dar hii ni sehemu itakayokufanya usahau kama upo dar, ni sehemu itakayokusahaulisha kelele na fujo za mjini dar es salaam, kama ukiamua kujichimbia huku kwa weekend.
Hawa wanaoffer apartments za aina mbalimbali kama ifuatavyo.
1.The nest
Kichumba kidogo kama kiota ambapo kinahost watu wawili (one bed), pia kina sehemu ya jiko na dining kwaajili ya chakula
# Air conditioning
#Free wifi
#Board and card games
Price
Usd 175/night approximately laki 402,500 hivii hii ni kwa weekdays
Usd 195/night approximately laki 448,500 weekend
2. The Sanctuary
Hiki pia ni chumba chenye kitanda kimoja, baraza sehemu ya nje ambapo utaenjoy mandhari nzuri ya bahari, pia ina dining area na kitchen.
Huduma nyingine ni pamoja na
#Air conditioning
#Free wifi
#Tv & Dstv
#Bluetooth sound system
#Board and card games
Price
Weekdays -usd 195/night kama 448,500 tsh
Weekend -usd 225/night makadirio 517,500 tsh
3. The hideaway
This is for families and groups
Ina 3 bedrooms so inahost couple tatu, mnaweza kuorganize mkachukua hii .
Huduma nyingine ni pamoja na
#Air conditioning
#Free wifi
#Tv & Dstv
#Bluetooth sound system
#Board and card games
Price
Weekdays/Weekend both ni usd 350/night ni kama laki 805,000 madafu.
Jinsi ya kufika The Overhang
Public transport
Panda daladala za kimbiji/buyuni utashuka kituo cha amani beach kona ya AVIC town pale ukiwasiliana na overhang watakuja wahudumu kukuchukua mpaka overhang
Kwa wanaodrive nadhani unaweza kufuata route hiyo kutegemea na wapi unatoka.
Asante.
Sent using
Jamii Forums mobile app