Uzi wa Matembezi (Travel & Vacations) na Vivutio vya Utalii nchini Tanzania

Uzi wa Matembezi (Travel & Vacations) na Vivutio vya Utalii nchini Tanzania

True say chief.
Ni kweli ndugu na labda ndio maana hata uwezo wetu kufikiri na kuchambua mambo upo chini sana (sio wote ila wengi wetu). Kuna uhusiano mkubwa sana wa kiufahamu kati ya “mother nature” na binadamu, Wachina wana respect sana hii kitu na ndio maana wapo very bright. Kutalii kunaongeza ufahamu sana sana
 
Mtoa mada ukija mafia nione nikupeleke sehem ya maajabu chole na bweni
 
Natarajia kufanya road trip to Magoroto mwezi wa tatu huu kutokea DSM naomba heads up kuanzia barabarani mpaka huko magoroto.

Shukran


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mla Bata,
Daah kulipia service inayo range from Tsh.400,000-800,000 per night na ukaenda kwa daladala sehemu husika unakua hujapatendea haki hapo mahala, hahah.

Pivha nzuri kinyamaa,bongo pazuri walahi
 
Thread nzuri Sana,unapokuwa safarini kwenda kuona vivutio vilivyo kaskazini (Tanga, Kilimanjaro Manyara na Arusha) Pita drive inn maeneo ya msata kwa Breakfast ,lunch na dinner pamoja na malazi Kama unahitaji kupumzika.jamani tumebarikiwa na vivutio ving tuamke tuvitembelee
 
Hapo ni Bundesliga Mwanza
 

Attachments

  • IMG_20200306_230121_892.jpg
    IMG_20200306_230121_892.jpg
    247.2 KB · Views: 24
  • IMG_20200306_224719_836.jpg
    IMG_20200306_224719_836.jpg
    132 KB · Views: 24
  • IMG_20200306_224723_232.jpg
    IMG_20200306_224723_232.jpg
    116.4 KB · Views: 24
Back
Top Bottom