Uzi wa Matembezi (Travel & Vacations) na Vivutio vya Utalii nchini Tanzania

Uzi wa Matembezi (Travel & Vacations) na Vivutio vya Utalii nchini Tanzania

Sikia wewe tafuta hela ingia clutch.co tafuta kampuni ya kutengeneza website nzuri

Kisha fungua website hii

www.letsgotanzania.co.tz

Kisha tafuta tour operators mbalimbali nchini kwa database yangu ni kwamba wako zaidi ya 1,000+ wote walist kwenye website yako hiyo

Website iwe na booking engine, calendar integration, search engine, na dashboard ya tour operators na tourists then kwa kila tour kuwe na 12%

Mfumo wa malipo mtalii analipa kupitia website yako then malipo yanaenda kwenye escrow account yenu then nyinyi mnalipa tour operators

Baada ya miaka 5 utakuwa ni Next Mo, trust me on this

Angalia www.viator.com

Halafu ujifunze kutoka kwao

Thank me later
 
Picha za abroad ndo mnadanganyishia kwel? Nchi yetu tunaijua ilivyo na si hivyo kwa baadhi ya maemaeneo mbebabaisha sana
 
Hello guys, it’s been a while here, we back.

Let’s meet at the top, cheers [emoji482]
 
I made a promise to bring some of the attractions from mafia island [emoji907], here we go……
 
Blue lagoon (Juani island [emoji907])

Hii ni mfano wa swimming pool ya asili ambayo ipo kwenye kipande cha mwamba (rock) inayozungukwa na msitu wa miti ya mikoko.

Maji ya pool hii ni chumvi, kutokana na eneo hili kuzungukwa pande zote na bahari, kina cha maji huongezeka na kupungua kutegemea na kupwa na kujaa kwa bahari, kina cha juu cha pool hii ni mita 3-4 kutegemea na eneo moja na jingine.

Ndani ya pool hii kuna jelly fish ambao hawana madhara kwa binadamu hivyo unaweza kuogelea pasi na shaka yoyote.

IMG_0676.jpg

IMG_0657.jpg

IMG_0669.jpg
 
Snorkeling at Chole bay (Maweni)

Hili ni eneo mahsusi kwaajili ya kufanya snorkeling 🤿 ( haihitaji uwe mjuzi wa maji kiivyo au diver kufanya snorkeling [emoji23]) just ujue kuogelea tu unahitaji special gears (mask& pipe na fins) then you good to go.

Maweni ni moja ya maeneo bora zaidi kufanya snorkeling duniani, YES! i mean duniani, watalii wanakuja kutoka sehemu mbalimbali duniani just kufanya snorkeling hapa, wengi wamekuwa wakifanya comparison na maeneo mengine ya snorkeling duniani kama madagascar [emoji1155] au mayote.

Pia kwa wapenzi wa Diving zipo spot mbalimbali kwaajili ya diving ndani ya chole bay.

ANMP0451.jpg

ANMP0447.jpg

ANMP0448.jpg

IMG_0488.jpg

IMG_0507.jpg
 
Later, nitapandisha baadhi ya video zinazoonyesha snorkeling ndani ya maji.
 
Jirani na malaika Beach resort Mwanza, nina picha nyingi sana za maeneo mbalimbali ila nyingi zina sura yangu siwezi kuzipost hapa. Nimechelewa kuona huu uzi muda si mrefu nitaanza kupost za maeneo mbalimbali nchini.
PXL_20211120_101844970.jpg
 
Snorkeling at Chole bay (Maweni)

Hili ni eneo mahsusi kwaajili ya kufanya snorkeling 🤿 ( haihitaji uwe mjuzi wa maji kiivyo au diver kufanya snorkeling [emoji23]) just ujue kuogelea tu unahitaji special gears (mask& pipe na fins) then you good to go.

Maweni ni moja ya maeneo bora zaidi kufanya snorkeling duniani, YES! i mean duniani, watalii wanakuja kutoka sehemu mbalimbali duniani just kufanya snorkeling hapa, wengi wamekuwa wakifanya comparison na maeneo mengine ya snorkeling duniani kama madagascar [emoji1155] au mayote.

Pia kwa wapenzi wa Diving zipo spot mbalimbali kwaajili ya diving ndani ya chole bay.

View attachment 2164897
View attachment 2164899
View attachment 2164902
View attachment 2164903
View attachment 2164904
Mafia pazuri sana. Utuletee na picha ya Light house na bwawa la viboko mbilikimo.
 
Back
Top Bottom