Ni kweli ndugu na labda ndio maana hata uwezo wetu kufikiri na kuchambua mambo upo chini sana (sio wote ila wengi wetu). Kuna uhusiano mkubwa sana wa kiufahamu kati ya βmother natureβ na binadamu, Wachina wana respect sana hii kitu na ndio maana wapo very bright. Kutalii kunaongeza ufahamu sana sana
mtoa mada ukija mafia nione nikupeleke sehem ya maajabu chole na bweni
Hii ni Lushoto Tanga, kijiji kimoja kinaitwa "mambo" ukiweza kufika hapa si tu utaenjoy hali ya hewa safi ya ubaridi bali utaweza kuona view nzuri ukiwa juu ya miinuko ya mambo.View attachment 1358567View attachment 1358568View attachment 1358571View attachment 1358573
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimefika chole na Ras Mbizi pia na mbweni kuna maajabu gani kule.. mbona mimi sikuona maajabu yoyote zaidi ya hali duni tu ya wakazi wa kule.!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesikia habari zake hili shimo, nitafika huko Mungu akipenda.We umefika kutembea hukutembezwa ungeona maajabu unaujua shimo LA rupia
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitarudi na mrejesho wakati wadau wengine wanaanza kukupa ABC'S mkuu, karibu.Natarajia kufanya road trip to Magoroto mwezi wa tatu huu kutokea DSM naomba heads up kuanzia barabarani mpaka huko magoroto.
Shukran
Sent from my iPhone using JamiiForums
Yaani Elli naona umekanyaga mle mle nilimopita mie. Hii nchi ni kubwa sana kaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya huku porini mambo ndio kama hivi, Hili basi linaitwa Nzega Coach kutoka Kahama hapo anaitafuta Katavi! Hii tulipishana nayo wilaya ya Mlele!!View attachment 1360129
Kitochi Original
Asante sana ngoja nitupie mbili tu kwa leoMkuu Elli karibu tena.