Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Hahahaha kiasi mkuu wanguNaona STC kwa mbele,hii nchi yote umeimaliza mpwa.
Hongera sana.
Local traveller MpwaMr.Traveller
Kwa niaba ya mjumbe hapo juu.
Hifadhi ya milima ya Udzungwa ipo nje kidogo ya mji wa morogoro km 65 kusini mwa hifadhi ya taifa ya mikumi, mwendo wa takribani masaa 5 kutoka dar es salaam.
Hifadhi hii ina species takribani 2500 za mimea, species zaidi ya 400 za ndege na specie 11 za nyani ambao ni alama muhimu ya utalii wa udzungwa ikiwemo red colobus and Sanje Crested Mangabey.
Pia Hifadhi ya milima ya udzungwa ina water falls nzuri za kuvutia kama Sanje water falls, prince bernhard water falls etc
Nilikuaga naskia tu kitonga hatari ukipita pale lazima usali kwanza kumbe kakitonga kenyewe ndo haka unapita 120 kabisa?
View attachment 1364312
Hapa Gangilonga uko juu unaiona Iringa yote ila kupanda kwake mtihani . Mie na kitambi changu cha Heineken kidogo pumzi ikate
View attachment 1364313
Iringa pazuri ila wanawahi sana kulala
Well said, tatizo siasa chafu tumeziweka mbele sana saanSasa pita ile barabara ya kutoka Iringa to Dodoma, aisee hii nchi Tanzania ni nzuri jamani. Kuna landscape murua sana na mandhari ya kuvutia ajabu.
Natamani tupate “think tanks” wazuri kwenye mambo ya utalii watufanyie mipango ili tuigeuze nchi yetu kuwa ya kitalii. Tourist destination
Naitazamaga zile safu za milima Ruaha pale na kuwaza kama tukiweza funga zile cables za kuteleza, si tutapiga hela sana..
Nchi nzuri hii kweli kwelii
View attachment 1391394
One way kwenda missionwe jamaaa umenikumbusha mbali saana hiyo miti na barabara haha by then hakukua na simu kama hizi!!
Sent using Jamii Forums mobile app
huwa napenda kushot viumbe hai hasa wadogo.View attachment 1360215View attachment 1360218View attachment 1360222View attachment 1360225View attachment 1360227
Sent using Jamii Forums mobile app
Thamani kama hizi ina pendeza mtu akiwa nazo pia home, weekend una chill na madogo janja niniii kuwa soma mawazo yao!!The Overhang, Kigamboni
Kwa wakazi wa dar es salaam, maeneo ya karibu ama mgeni uliekuja dar hii ni sehemu itakayokufanya usahau kama upo dar, ni sehemu itakayokusahaulisha kelele na fujo za mjini dar es salaam, kama ukiamua kujichimbia huku kwa weekend.
Hawa wanaoffer apartments za aina mbalimbali kama ifuatavyo.
1.The nest
Kichumba kidogo kama kiota ambapo kinahost watu wawili (one bed), pia kina sehemu ya jiko na dining kwaajili ya chakula
# Air conditioning
#Free wifi
#Board and card games
Price
Usd 175/night approximately laki 402,500 hivii hii ni kwa weekdays
Usd 195/night approximately laki 448,500 weekend
2. The Sanctuary
Hiki pia ni chumba chenye kitanda kimoja, baraza sehemu ya nje ambapo utaenjoy mandhari nzuri ya bahari, pia ina dining area na kitchen.
Huduma nyingine ni pamoja na
#Air conditioning
#Free wifi
#Tv & Dstv
#Bluetooth sound system
#Board and card games
Price
Weekdays -usd 195/night kama 448,500 tsh
Weekend -usd 225/night makadirio 517,500 tsh
3. The hideaway
This is for families and groups
Ina 3 bedrooms so inahost couple tatu, mnaweza kuorganize mkachukua hii .
Huduma nyingine ni pamoja na
#Air conditioning
#Free wifi
#Tv & Dstv
#Bluetooth sound system
#Board and card games
Price
Weekdays/Weekend both ni usd 350/night ni kama laki 805,000 madafu.
Jinsi ya kufika The Overhang
Public transport
Panda daladala za kimbiji/buyuni utashuka kituo cha amani beach kona ya AVIC town pale ukiwasiliana na overhang watakuja wahudumu kukuchukua mpaka overhang
Kwa wanaodrive nadhani unaweza kufuata route hiyo kutegemea na wapi unatoka.
Asante.
View attachment 1359814View attachment 1359815View attachment 1359816View attachment 1359817View attachment 1359818View attachment 1359819View attachment 1359820View attachment 1359821View attachment 1359822View attachment 1359824View attachment 1359825View attachment 1359827View attachment 1359828View attachment 1359830View attachment 1359833
Sent using Jamii Forums mobile app