πππ huku ukijificha hata wasiojulikana hawakupati , wilaya gani hii???Gonja mahore,kwa akina Mshana Jr jina la kijiji limenitokaView attachment 1358791
Sent using Jamii Forums mobile app
Maelezo safi kabisa mkuu, kongole kwako.Ila kufika hapa kwenye kilele cha huu mlima ambapo ndipo kilipo kijiji hiki ni shughuli pevu,ukiwa na gari safi kama land cruiser isiyo na mafua inaweza kukuchukua masaa manne hadi matano kuupanda huu mlima,hapo kijijini maisha ni safi kabisa,utadhani uko mbagala(cunning) kutoka chini ya mlima hadi kijijini(kileleni) kwa pikipiki ni Tsh 30,000/ na kushuka ni 20,000 hadi 15,000,nilipapenda mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] huku ukijificha hata wasiojulikana hawakupati , wilaya gani hii???
Hilo eneo nimelipenda kupindukia yan dah! Nikifika maeneo km hayo huwa nasahau kila kituMagoroto forest Muheza, Tanga hapa utaweza kuenjoy a beautiful view na utulivu wa kutosha wa hifadhii ndogo ya msitu wa magoroto, utaweza kuogelea pia.View attachment 1358582View attachment 1358583View attachment 1358584
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano?Wale mnaoweka picha zisizo za maeneo husika pigeni hata sebuleni kwenu aseee, siyo unaweka picha ya ziwa wakati mkoa huo unafahamika hakuna hata dead lake!.
Rudi kwenye conclusion. Hiyo sehem inatajwa sana lakini ya hovyo. Overrated!!Mbona mimi nimeelewa kuwa "ni pazuri sanaa ila wizara imefail kwenye uwekezaji wa facilities muhimu" ama sijaelewa?? Ebu rudia mchango wako hapo juu.
Kikuletwa Hot springs (maji moto), Moshi . kama picha zinavyoonesha mandhari nzuri kabisa na ya kuvutia ambayo itakufanya urefresh na kutuliza akili yako.View attachment 1358588View attachment 1358589View attachment 1358590View attachment 1358592
Sent using Jamii Forums mobile app
Magoroto forest Muheza, Tanga hapa utaweza kuenjoy a beautiful view na utulivu wa kutosha wa hifadhii ndogo ya msitu wa magoroto, utaweza kuogelea pia.View attachment 1358582View attachment 1358583View attachment 1358584
Sent using Jamii Forums mobile app
AsanteKwa tanga inategemeana na wewe unataka nini ila ukiwa na laki mbili itatosha kufurahi kwa siku zisizo pungua mbili, ni mji mzuri
Magoroto mara nyingi naona watu wanaanda trip mbali mbali ..so itadepend na waandaji sijawai enda mwenyewe private
View attachment 1358934
Mfano hao waliandaa last year kwa shilling laki tatu na kitu ..sio gharama nj mikakati tu
Simple: kuna jamaa kilaa jumamosi asubuh wanaenda udzungwa toka Dar na kurudi jumapili jioni. Haifiki laki 2, wacheki kwa 0713039875Nimependa sana. Mkimaliza mtushirikishe na gharama za kufika hayo maeneo.
Hilo eneo nimelipenda kupindukia yan dah! Nikifika maeneo km hayo huwa nasahau kila kitu
Nipo Dar naomba gharama za kufika huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Mla Bata
Nikushukuru sana kwa maelezo yako ,umeongeza chachu ya kusafiri zaidi soon na trip bagamoyo na maeneo uliyosema ntajitahidi kufika
Asante!.