Uzi wa Matembezi (Travel & Vacations) na Vivutio vya Utalii nchini Tanzania

Uzi wa Matembezi (Travel & Vacations) na Vivutio vya Utalii nchini Tanzania

Ila kufika hapa kwenye kilele cha huu mlima ambapo ndipo kilipo kijiji hiki ni shughuli pevu,ukiwa na gari safi kama land cruiser isiyo na mafua inaweza kukuchukua masaa manne hadi matano kuupanda huu mlima,hapo kijijini maisha ni safi kabisa,utadhani uko mbagala(cunning) kutoka chini ya mlima hadi kijijini(kileleni) kwa pikipiki ni Tsh 30,000/ na kushuka ni 20,000 hadi 15,000,nilipapenda mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maelezo safi kabisa mkuu, kongole kwako.
 
Mliowahi tembelea huko tujuzeni na gharama zake zipoje

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa tanga inategemeana na wewe unataka nini ila ukiwa na laki mbili itatosha kufurahi kwa siku zisizo pungua mbili, ni mji mzuri

Magoroto mara nyingi naona watu wanaanda trip mbali mbali ..so itadepend na waandaji sijawai enda mwenyewe private

IMG_7256.JPG

Mfano hao waliandaa last year kwa shilling laki tatu na kitu ..sio gharama nj mikakati tu
 
View attachment 1358934
Mfano hao waliandaa last year kwa shilling laki tatu na kitu ..sio gharama nj mikakati tu
Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom