Uzi wa Matembezi (Travel & Vacations) na Vivutio vya Utalii nchini Tanzania

The Overhang, Kigamboni

Kwa wakazi wa dar es salaam, maeneo ya karibu ama mgeni uliekuja dar hii ni sehemu itakayokufanya usahau kama upo dar, ni sehemu itakayokusahaulisha kelele na fujo za mjini dar es salaam, kama ukiamua kujichimbia huku kwa weekend.

Hawa wanaoffer apartments za aina mbalimbali kama ifuatavyo.

1.The nest

Kichumba kidogo kama kiota ambapo kinahost watu wawili (one bed), pia kina sehemu ya jiko na dining kwaajili ya chakula

# Air conditioning
#Free wifi
#Board and card games

Price

Usd 175/night approximately laki 402,500 hivii hii ni kwa weekdays

Usd 195/night approximately laki 448,500 weekend

2. The Sanctuary

Hiki pia ni chumba chenye kitanda kimoja, baraza sehemu ya nje ambapo utaenjoy mandhari nzuri ya bahari, pia ina dining area na kitchen.
Huduma nyingine ni pamoja na

#Air conditioning
#Free wifi
#Tv & Dstv
#Bluetooth sound system
#Board and card games

Price
Weekdays -usd 195/night kama 448,500 tsh
Weekend -usd 225/night makadirio 517,500 tsh


3. The hideaway

This is for families and groups
Ina 3 bedrooms so inahost couple tatu, mnaweza kuorganize mkachukua hii .

Huduma nyingine ni pamoja na

#Air conditioning
#Free wifi
#Tv & Dstv
#Bluetooth sound system
#Board and card games

Price

Weekdays/Weekend both ni usd 350/night ni kama laki 805,000 madafu.


Jinsi ya kufika The Overhang

Public transport

Panda daladala za kimbiji/buyuni utashuka kituo cha amani beach kona ya AVIC town pale ukiwasiliana na overhang watakuja wahudumu kukuchukua mpaka overhang

Kwa wanaodrive nadhani unaweza kufuata route hiyo kutegemea na wapi unatoka.

Asante.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maji Yale ni ya baridi muda wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah sure πŸ˜… nakumbuka, unaoga huku unatetemeka. Kama ni mgonjwa wa kifua hali ya hewa ya njombe si rafiki kwakweli. Sijui siku hizi haya mambo ya mabadiliko ya hali ya hewa kama lile baridi limepungua.

Nilishangaa nilivofika makambako kwa mara ya kwanza naona njemba zinabeba magunia ya mahindi na viazi huku wamevaa makoti makubwa ya baridi hiyo ni saa kumi hivi jioni wakati nishazoea kuona kariakoo watu wanabeba mizigo vifua wazi jasho linawamiminika.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…