okayKama visitor anatokea moro town ni rahisi kumchukua mpaka kwenye starting point so i can say hiyo amount inainclude mpaka usafiri though mara nyingi huwa tunakutana kwenye starting point direct.
Lushoto View Point, kwa mbaaali kule chini ni Mazinde ukienda Moshi.....2008 hapo.
Hii mbona kama mambo view mkuu.Lushoto View Point, kwa mbaaali kule chini ni Mazinde ukienda Moshi.....2008 hapo.View attachment 1359922View attachment 1359923View attachment 1359924
Kitochi Original
Hii picha unaeza kataa kama ni tecno ππ, kama canon mzeeEnzi za Techno Boom, hapo ni Coral Beach Dar es Salaam. Techno walikua na simu nzuri basi tu 2017View attachment 1359927
Kitochi Original
Hii mbona kama mambo view mkuu.
Hii picha unaeza kataa kama ni tecno [emoji23][emoji23], kama canon mzee
Mimi mbugani nimekuchoka π€Hii ni Tarangire National ParkView attachment 1359967View attachment 1359968View attachment 1359969
Kitochi Original