N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,427
- 10,905
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikuletwa is overrated. Ni pazuri sana lakini wizara ya utalii imeshindwa kupaboresha hapo? Je hakuna mwekezaji anaweza kukabidhiwa hiyo sehemu? Barabara ya kutoka boma ng'ombe ufike hapo hot spring ni rough road.Kikuletwa Hot springs (maji moto), Moshi . kama picha zinavyoonesha mandhari nzuri kabisa na ya kuvutia ambayo itakufanya urefresh na kutuliza akili yako.View attachment 1358588View attachment 1358589View attachment 1358590View attachment 1358592
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa is overrated or underrated?Kikuletwa is overrated. Ni pazuri sana lakini wizara y utalii imeshindwa kupaboresha hapo? Je hakuna mwekezaji anaweza kukabidhiwa hiyo sehemu?
Barabara ya kutoka boma ng'ombe ufike hapo hot spring ni rough road. Ukifika pale hamna sehemu ya chakula wala vinywaji inayoeleweka. Hata viti vya kukalia hamna... it's pathetic kwa kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maelezo yake, alichomaanisha ni sahihi:"overrated".Sasa is overrated or underrated??
Mimi nimesoma shule za kata
Overrated coz sio pazuri kama watu wanavyosema. Sababu hizo nimetaja hapoSasa is overrated or underrated??
Mimi nimesoma shule za kata
True say, nadhani ni fursa nzuri pia hata kwa wadau humu JF kuwekeza, nice observation.Kikuletwa is overrated. Ni pazuri sana lakini wizara y utalii imeshindwa kupaboresha hapo? Je hakuna mwekezaji anaweza kukabidhiwa hiyo sehemu? Barabara ya kutoka boma ng'ombe ufike hapo hot spring ni rough road. Ukifika pale hamna sehemu ya chakula wala vinywaji inayoeleweka. Hata viti vya kukalia hamna... it's pathetic kwa kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mimi nimeelewa kuwa "ni pazuri sanaa ila wizara imefail kwenye uwekezaji wa facilities muhimu" ama sijaelewa?? Ebu rudia mchango wako hapo juu.Overrated coz sio pazuri kama watu wanavyosema. Sababu hizo nimetaja hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Well said mkuu,January nilikuwa tanga muheza na tanga mjini nilifurahi kujionea mazingira mapya katika macho yangu.
Feb nimeplan kuwa bagamoyo sijui hapa ni mahali gani sitakiwi acha kufika kujionea vitu.
kusafiri /kutembelea maeneo ni rahisi ukijiwekea mipango
Sawa, karibu pia.hujatuwekea Chato haijanoga... in short post inakuwa incomplete
Nimependa sana. Mkimaliza mtushirikishe na gharama za kufika hayo maeneo.
Kilanya villageMwonekano wa mlima kilimanjaro kutokea Lyamungo machameView attachment 1358779
Sent using Jamii Forums mobile app
Bonge la view mkuu, nadhani ni wakati mzuri sana wa kupata picha za mlima kutoka mbaliii👏🏻Mwonekano wa mlima kilimanjaro kutokea Lyamungo machameView attachment 1358779
Sent using Jamii Forums mobile app
Gonja mahore,kwa akina Mshana Jr jina la kijiji limenitokaView attachment 1358791
Sent using Jamii Forums mobile app