Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Nilicheka sana nilipofika hili eneo! Sikuwahi kuamini kuwa this place existed....nilipiga picha nikamtumia MTU! Aagh
Kitochi Original
Kitochi Original
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha i see, kwamba ni kama amazon?😂😂[emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli kabisa nimeenda zaidi ya mara kumi na sijawahi kusikia hiyo sehemu
Bora hata wangekuwa wanaweka mabango ya vivutio kila stendi au mijini ili ukipita unaona
Sasa kuna sehemu humu watu wameweka picha utafikiri Amazon kumbe Tz
Sent from my iPhone using Tapatalk
Kwahiyo hapa ndio kwa waasisi wenyewe?? 😂Nilicheka sana nilipofika hili eneo! Sikuwahi kuamini kuwa this place existed....nilipiga picha nikamtumia MTU! AaghView attachment 1360137
Kitochi Original
Nice shot 👏🏻👏🏻Kikuletwa hotspringView attachment 1360140View attachment 1360141
Sent using Jamii Forums mobile app