Uzi wa Matembezi (Travel & Vacations) na Vivutio vya Utalii nchini Tanzania

Uzi wa Matembezi (Travel & Vacations) na Vivutio vya Utalii nchini Tanzania

Nilicheka sana nilipofika hili eneo! Sikuwahi kuamini kuwa this place existed....nilipiga picha nikamtumia MTU! Aagh
IMG_20170214_142258.jpeg


Kitochi Original
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli kabisa nimeenda zaidi ya mara kumi na sijawahi kusikia hiyo sehemu
Bora hata wangekuwa wanaweka mabango ya vivutio kila stendi au mijini ili ukipita unaona
Sasa kuna sehemu humu watu wameweka picha utafikiri Amazon kumbe Tz


Sent from my iPhone using Tapatalk
Hahaha i see, kwamba ni kama amazon?😂😂
 
Idimi,
Ufafanuzi mzuri mkuu, kama natokea dar kwa public transport naomba gharama za usafiri mpaka kufika hapo ufukweni. Kama hutojali.
 
Back
Top Bottom