Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Nyingine zilipotea mkuuAsante sana Elli kwa mapicha mazuri na kunifanya nihamasike na mm
Sent from my iPhone using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyingine zilipotea mkuuAsante sana Elli kwa mapicha mazuri na kunifanya nihamasike na mm
Sent from my iPhone using JamiiForums
Asante sana.
Cc ElliMATARUNI waterfall in Uru Moshi.
KARIBUNI KISHIMUNDU.. [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 1360345
Sent using Jamii Forums mobile app
Hio location tamu sana kama SONI FALLS
Hahaha i see, kwamba ni kama amazon?[emoji23][emoji23]
bigmindMATARUNI waterfall in Uru Moshi.
KARIBUNI KISHIMUNDU.. [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 1360345
Sent using Jamii Forums mobile app
Iko vile vile mkuu. Nashukuru Mungu mimehama kule, ila ni pazuri mno kuishi.Yeah sure [emoji28] nakumbuka, unaoga huku unatetemeka. Kama ni mgonjwa wa kifua hali ya hewa ya njombe si rafiki kwakweli. Sijui siku hizi haya mambo ya mabadiliko ya hali ya hewa kama lile baridi limepungua.
Nilishangaa nilivofika makambako kwa mara ya kwanza naona njemba zinabeba magunia ya mahindi na viazi huku wamevaa makoti makubwa ya baridi hiyo ni saa kumi hivi jioni wakati nishazoea kuona kariakoo watu wanabeba mizigo vifua wazi jasho linawamiminika.[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna maziwa yasiyojulikana. Mfano Mimi nilishangaa kukuta ziwa sehemu moja hivi!Wale mnaoweka picha zisizo za maeneo husika pigeni hata sebuleni kwenu aseee, siyo unaweka picha ya ziwa wakati mkoa huo unafahamika hakuna hata dead lake!.
MATARUNI waterfall in Uru Moshi.
KARIBUNI KISHIMUNDU.. [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 1360345
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaanza na malengo tu mkuu, jiwekee malengo let's say at the end of this year lazima niende sehemu hii na hii, naaminj kama unadunduliza "visenti" hushindwi kutimiza lengo.Me napenda sana kuzulula sema kikwazo ni uchumi tu Yani. Uchumu ungekuwa mzuri . Tanzania nzima ningekuwa nimefika kila eneo la kuvutia
Sent using Jamii Forums mobile app
Walikua wanatongozana Hawa si bure!One of my best shots [emoji1309]View attachment 1360203View attachment 1360205View attachment 1360208
Sent using Jamii Forums mobile app
I see, i must visit again, nilipapenda sanaa.Iko vile vile mkuu. Nashukuru Mungu mimehama kule, ila ni pazuri mno kuishi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania inasehemu nyingi Sana ambazo ni vivutio bomba Sana na sio garama kabisaa kwenda labda Kama unataka luxury Sana you can do it on budget na ukafurahia Sana trip yako
Sent using Jamii Forums mobile app