Uzi wa Matembezi (Travel & Vacations) na Vivutio vya Utalii nchini Tanzania

Uzi wa Matembezi (Travel & Vacations) na Vivutio vya Utalii nchini Tanzania

Hahaha i see, kwamba ni kama amazon?[emoji23][emoji23]

Mkuu usinishangae
Wakati nasoma enzi zile tulikuwa tunafundishwa Mississippi lakini Udzungwa sijawahi kuisoma sasa leo bado tuko nyuma sana katika kuitangaza nchi upande wa vivutio

Wenzetu wazungu hawana vivutio vingi bali ni majumba tu yaliyowekwa vitu ndani na wanavitangaza haswa na hela zinaingia kila kukicha. Ukiona mabasi yameandikwa vivutio.

Hata barabarani sign post zinaandikwa miji na hapohapo Kuna zingine zinakuonyesha places of interest
Najua tunazo sign kama morogoro 60 miles lakini wangeweka na alama kuonyesha Mbuga za wanyama hata ukiwa Dar.

Hiyo inasaidia sana wageni kujua ooh kumbe huko ndio Lake Victoria hapo hata kama alikuwa haendi huko inabidi aende.

Mkuu don’t get me wrong lakini kama sign post zitawekwa kila sehemu kama wanavyoweka alama za mikoa kwa kweli wengi wangeenda.

Tatizo waziri mwenyewe siku nzima yuko Twitter. Kweli kuna sehemu huwezi sema ni Tz mpaka tuambiwe.

Kina hayo ndio wa kutangaza zaidi vivutio na pia tv ya taifa Ila matangazo ni lazima barabarani


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Yeah sure [emoji28] nakumbuka, unaoga huku unatetemeka. Kama ni mgonjwa wa kifua hali ya hewa ya njombe si rafiki kwakweli. Sijui siku hizi haya mambo ya mabadiliko ya hali ya hewa kama lile baridi limepungua.

Nilishangaa nilivofika makambako kwa mara ya kwanza naona njemba zinabeba magunia ya mahindi na viazi huku wamevaa makoti makubwa ya baridi hiyo ni saa kumi hivi jioni wakati nishazoea kuona kariakoo watu wanabeba mizigo vifua wazi jasho linawamiminika.[emoji23][emoji23][emoji23]
Iko vile vile mkuu. Nashukuru Mungu mimehama kule, ila ni pazuri mno kuishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania inasehemu nyingi Sana ambazo ni vivutio bomba Sana na sio garama kabisaa kwenda labda Kama unataka luxury Sana you can do it on budget na ukafurahia Sana trip yako


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me napenda sana kuzulula sema kikwazo ni uchumi tu Yani. Uchumu ungekuwa mzuri . Tanzania nzima ningekuwa nimefika kila eneo la kuvutia

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaanza na malengo tu mkuu, jiwekee malengo let's say at the end of this year lazima niende sehemu hii na hii, naaminj kama unadunduliza "visenti" hushindwi kutimiza lengo.

Karibu.
 
Back
Top Bottom