Uzi wa Matembezi (Travel & Vacations) na Vivutio vya Utalii nchini Tanzania

Uzi wa Matembezi (Travel & Vacations) na Vivutio vya Utalii nchini Tanzania

Pia huku Arusha kule USA RIVER kuna kituo kinaitwa Leganga shuka hapo kisha panda na hiyo njia kuna kijiji kinaitwa (JUA-KALI) Utauliza HOTELI YA KITALII INAITWA NGARASERO MOUNTAIN LODGE kuna mawneo mazuri ikiwepo kimlima kizuri chini yake kibwawa cha asili pia kuna aina mbalimbali za ndege na wanyama haswa MBEGA. Kweli uta- enjoy sana.
Mkuu hamna hata picha mbili tatu kusindikizia maelezo yako [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibuni wadau tuendelee kushare experience mbalimbali ya maeneo tuliowahi kutembelea ama kupita, lakini pia kwa maeneo ambayo tuna plan ya kuyatembelea.

Well, leo napenda kushare utalii ambao watanzania wengi hatujautupia macho, huu si mwingine bali ni utalii wa bahari. Mimi ni mdau mkubwa sana wa utalii wa bahari hasa katika activities kama snorkelling , diving etc.

Miezi michache ijayo nimeplan kusafiri kwenda kisiwa cha mafia kwaajili ya kwenda kufanya utalii huu, (nimeshafanya mbudya na saadani national park) ni utalii mzuri sanaa kama utakuwa unajua kuogelea na knowledge ya snorkelling, diving sio lazima (mostly of the time inahitaji uwe na certificate maalumu)

What's so special about mafia island??

Kilichonivuta zaidi kwenda mafia ni kwaajili ya huyu samaki maarufu aina ya potwe, (papa potwe) , whale shark.

Ni samaki ambaye hana madhara yeyote na binadamu unaweza kuogelea nae na pia kupiga picha nae, nitawaletea mrejesho [emoji23][emoji23].

Lakini kitu kingine ni utajiri wa bahari na viumbe vingine kama kasa, samaki wazuri wakuvutia n.k.

Karibuni.

Paula Paul mama D Elli Aurora

images-133.jpeg
images-58.jpeg
images-69.jpeg
images-66.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta uzi tahathari nakupa,hakikisha hupigi picha barabara mbovu zilizopo katika hivyo vivutio,ukithubutu kesi ya uhujumu uchumi inakuhusu.

Kwa hisani ya mkuu wa A town.
 
Mleta uzi tahathari nakupa,hakikisha hupigi picha barabara mbovu zilizopo katika hivyo vivutio,ukithubutu kesi ya uhujumu uchumi inakuhusu.

Kwa hisani ya mkuu wa A town.
Rodger that! ✊🏻
 
Back
Top Bottom