Uzi wa Matembezi (Travel & Vacations) na Vivutio vya Utalii nchini Tanzania

Uzi wa Matembezi (Travel & Vacations) na Vivutio vya Utalii nchini Tanzania

Kikuletwa is overrated. Ni pazuri sana lakini wizara y utalii imeshindwa kupaboresha hapo? Je hakuna mwekezaji anaweza kukabidhiwa hiyo sehemu? Barabara ya kutoka boma ng'ombe ufike hapo hot spring ni rough road.

Ukifika pale hamna sehemu ya chakula wala vinywaji inayoeleweka. Hata viti vya kukalia hamna... it's pathetic kwa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Zamani kidogo ilibaki kidogo nizame hapo.Haya maji haya!!
 
Hayo maji yanatembea ama?
Kikuletwa is overrated. Ni pazuri sana lakini wizara y utalii imeshindwa kupaboresha hapo? Je hakuna mwekezaji anaweza kukabidhiwa hiyo sehemu? Barabara ya kutoka boma ng'ombe ufike hapo hot spring ni rough road.

Ukifika pale hamna sehemu ya chakula wala vinywaji inayoeleweka. Hata viti vya kukalia hamna... it's pathetic kwa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah, moja kati ya nyuzi nzuri na yenye sense of patriotism ni hii aisee. Mleta mada kwa kweli uzalendo uliofanya hapa ni wa kiwango cha juu sana. Charity starts at home indeed.

Nami nikuunge mkono katika hili kwa kuamsha hamasa ya kutembelea vivutio vyetu. Tukifanya hivi hakika hata uchumi wa mtu mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla tutaunyanyua haraka sana.
By the way, Nchi yetu ni nzuri sana sana jamani, dah. Hakika tumependelewa sana na Mungu. Lakini kwanini sisi ni masikini hivi??? [emoji24][emoji24]

Anyway labda watu wako makanisani na misikitini wakimwomba Mungu atufungue macho na akili zetu, ili tuone utajiri aliotupatia.
Kwa kweli nimeupenda huu uzi na hakika mimi pia ntaongeza ziara kama mleta mada alivyotuhamasisha. Kwakweli nazikumbuka ziara zangu mbugani Manyara, Ngorongoro, Tarangire, utalii Zanzibar, snake park Arusha, aagh.. zilikuwa ni safari zenye kutuliza akili sana na kukumbukwa daima. Trips of lifetime.
Lakini pia kutalii kunaongeza ufahamu sana. Barikiwa sana mleta mada kwa nyuzi murua kama hii..
 
Asante sana mkuu, umezungumza ukweli mtupu kuhusu ustaarabu wa kutalii kwa sisi waafrika, nadhani ni utaratibu ambao wengi hatuna, labda kupitia nyuzi kama hizi tunaweza kupata wadau watakaopata muamko.

Ni kweli ndugu na labda ndio maana hata uwezo wetu kufikiri na kuchambua mambo upo chini sana (sio wote ila wengi wetu). Kuna uhusiano mkubwa sana wa kiufahamu kati ya “mother nature” na binadamu, Wachina wana respect sana hii kitu na ndio maana wapo very bright. Kutalii kunaongeza ufahamu sana sana
 
Nilikuaga naskia tu kitonga hatari ukipita pale lazima usali kwanza kumbe kakitonga kenyewe ndo haka unapita 120 kabisa?

20181028_115524.jpg



Hapa Gangilonga uko juu unaiona Iringa yote ila kupanda kwake mtihani . Mie na kitambi changu cha Heineken kidogo pumzi ikate

20200220_195613.jpg


Iringa pazuri ila wanawahi sana kulala
 
Back
Top Bottom