Uzi wa mazero Brain

Uzi wa mazero Brain

Sio mbàya

Sio mbayaaaaaaaaaa
IMG_20190417_212057_066.JPG


Cc Zero IQ
 
Uzi wa mazero huu humu ni kupost vitu ambavyo havina msingi vile vitu vya ovyo ovyo.

Note.
Usiingie humu na kujua labda utapata kitu cha maana humu ni kwa mazero tu

Cc Zero IQ
Acha ujinga
 
Dah...Anajulikana sana kwa jina la bint Maringo, labda kwa huruma tu lakini Yanga kupata ubingwa bado ngumu. Pamoja na ubinywaji wa demokrasia lakini bado mvua inanyesha upungufu wa vitamini. Kituo Cha polisi Màgomeni mabasi ya mwendo Kasi watoto wale krismas mdomo wa Bata muda mwingii mambo in ingilishi[emoji1][emoji850][emoji13]
 
Back
Top Bottom