Uzi wa memes tupia chako tupunguze stress

Uzi wa memes tupia chako tupunguze stress

Sikio la muazini

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2026
Posts
262
Reaction score
519
1 Leo nimeota nimeenda kwenye shughuli kwenye kuandaa sasa nikaamshwa da nimekasilika sana
2 leo nimepanda baskel inayoachia mara paap ikaachia nikiwa mlimani mnajua kilichonikuta
3kijana asiyejulika amevamia jengo lisilojulikana na kukimbia kus4kojulka hata habari hi haijulikani
4 kijana afaliki akipambana na hali
5

MIMI SIO MCHEKESHAJI SANA
ila nahitaji kampani kidogo nina mawazo

KARIBUNI:
 
"Sijui kinachoendelea ila nimeelewa kiasi"
20260615_164524.jpg
 
1 Leo nimeota nimeenda kwenye shughuli kwenye kuandaa sasa nikaamshwa da nimekasilika sana
2 leo nimepanda baskel inayoachia mara paap ikaachia nikiwa mlimani mnajua kilichonikuta
3kijana asiyejulika amevamia jengo lisilojulikana na kukimbia kus4kojulka hata habari hi haijulikani
4 kijana afaliki akipambana na hali
5

MIMI SIO MCHEKESHAJI SANA
ila nahitaji kampani kidogo nina mawazo

KARIBUNI:
Some niggas make millions
Others make memes.
 
Back
Top Bottom