Uzi wa picha: Waarabu waking'oa viti Kwa Mkapa

Sisi tusioingia uwanja wa taifa tuelezeni tuelewe ni vipi viti huonekana kuwa silaha ya haraka katika mapambano!? Vimebandikwa tuu! Au wadau wanakuwa na screw driver na spana!?

Anyway, kwa tunavyoambiwa kuhusu fujo za waarabu nadhani kama na mi ningekuwepo ningetumia njia hiyo hiyo kujihami. Viti ni vyetu kwa maana vimepatikana kutokana na kodi zetu na usalama ni wetu. Kodi zitumike kurekebisha.

Kikubwa ni point tatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…