Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
- Thread starter
- #21
Bado hamjaenda KwaoSisi tusioingia uwanja wa taifa tuelezeni tuelewe ni vipi viti huonekana kuwa silaha ya haraka katika mapambano!? Vimebandikwa tuu! Au wadau wanakuwa na screw driver na spana!?
Anyway, kwa tunavyoambiwa kuhusu fujo za waarabu nadhani kama na mi ningekuwepo ningetumia njia hiyo hiyo kujihami. Viti ni vyetu kwa maana vimepatikana kutokana na kodi zetu na usalama ni wetu. Kodi zitumike kurekebisha.
Kikubwa ni point tatu.