Uzi wa picha: Waarabu waking'oa viti Kwa Mkapa

Uzi wa picha: Waarabu waking'oa viti Kwa Mkapa

Nikiwa kama konstebo alfonsi mzafaru [emoji23][emoji23] nauliza hivi huyo jamaa Yuko viti vya orange lakini ameshika kiti cha bluu[emoji23][emoji23] Ina maana alipewa kiti hicho na kibu diii kibu dee
Kiti kilirushwa Toka juu ...na kolo mwenzake....huyo alikidaka na kukiongeza mwendo kwenda Kwa waarabu
 
Simba ni majitu mapumbavu! Nimeona ile press release yao ni kama mauti hayajielewi utetezi wa kipumbavu! Eti Waarabu ndio walifanya vurugu! Sasa kilichowafanya wang'oe viti ni nini? Hivyo viti vilikuwa vya Waarabu?
Mbu mbu Mbu mbu
 
Lungu la CAF linakuja
Kaa hivyo hivyo kwa kuota..siww ndo ulileta uzi wa Yusuph Kagoma? Huna hata aibu lol...yamekushuka shuu..
Bongee moja la assist kutoka kwa kagomaa nadhani ulitamani ujinyonge...hahah
 
Kaa hivyo hivyo kwa kuota..siww ndo ulileta uzi wa Yusuph Kagoma? Huna hata aibu lol...yamekushuka shuu..
Bongee moja la assist kutoka kwa kagomaa nadhani ulitamani ujinyonge...hahah
Hapana mkuu uzalendo kwanza....nilifurah Simba kushinda
 
Sisi tusioingia uwanja wa taifa tuelezeni tuelewe ni vipi viti huonekana kuwa silaha ya haraka katika mapambano!? Vimebandikwa tuu! Au wadau wanakuwa na screw driver na spana!?

Anyway, kwa tunavyoambiwa kuhusu fujo za waarabu nadhani kama na mi ningekuwepo ningetumia njia hiyo hiyo kujihami. Viti ni vyetu kwa maana vimepatikana kutokana na kodi zetu na usalama ni wetu. Kodi zitumike kurekebisha.

Kikubwa ni point tatu.
Viti vingi pale ni vibovu hata vilishatoka kwenye screw, hhungo'oi ni unachukua tu kama bakuli au sahani
 
Waambieni waarabu wenu waje kwa adabu siku nyingine tutaweka upupu kwny pochi mixa mayai viza...
 
Back
Top Bottom