Uzi wa screenshot kutoka JamiiForum

Kuna thread 3 huwa najiuliza ikitokea mods wakazifuta hasira za wadau itakuwaje?

1. Wazee wa kubet
2. Makapuku forum
3. Kupeana likes

Hizi ni threads ziko active muda wowote na wadau wake kila ukiingia ni kama wametengeneza familia fulani ya wao wao, nawaza mods siku waziondoe itakuwaje?
 
Kabla ya hizo kuwepo ilikuwaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
 
Mimi zangu
1. Uzi wa vyakula
2. Jf usiku wa manane
3. Vituko mtandaoni
4. Kupeana likes

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora wafute zote hizo ila sio wa kubet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…