Uzi wa tafiti na Saikolojia

Uzi wa tafiti na Saikolojia

"introverts hate phone calls which can lead to unnecessary conversations because They are good at writing "
 
Are you pretetend you dont care someone,!!? 100% that person he/she is the one who you care much than yourself
 
images (22).jpeg

Ocean Quahog ndiye mnyama aliyethibitishwa kisayansi kuwa aliishi kwa muda mrefu zaidi duniani. Alizaliwa mwaka 1499 na kufa mwaka 2006 akiwa na umri wa miaka 507.

Inaaminika kuwa aliuawa na wanasayansi waliovunja gamba lake bila kujua kuwa bado yupo hai wakati wanataka kumchunguza.
#Tafiti
 
Wanawake hawavutiwi na wanaume wanaopenda kucheza kamari, kutazama video za ngono na wanao sapoti harakati za kutetea wanaume!
#Tafiti
 
1. Kupenda kusoma.
2. Uwezo wa kuzungumza lugha ya kigeni.
3. Uwezo wa kutumia kifaa fulani cha muziki.

Ndio vitu vinavyowavutia zaidi wanawake kwa wanaume wanaopenda/uwezo wa kufanya hivyo!
#Tafiti
 
Ukitaka kumtoroka mtu aliyelala bila kumstua, usimuangalie usoni!
#Tafiti
 
Kujamba mara kwa mara ukiwa karibu na mwenza wako ni moja ya kiashiria cha upo kwenye uhusiano imara!
#Tafiti
 
Wanaume wana kawaida ya kufanya maamuzi magumu na hatari zaidi kama kutakuwa na wanawake warembo karibu!
#Saikolojia
 
Back
Top Bottom