Rayns
JF-Expert Member
- Jul 29, 2023
- 3,620
- 7,818
Ok🤝Nitawaletea majibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok🤝Nitawaletea majibu
Nani kasema hela ni kila kitu?Unaweza kuununua Usingizi wewe ?
Hela sio kila kitu
Sio kweli
Pesa zinaweza kuleta faraja na utulivu, lakini hazijitoshelezi kutoa furaha ya kudumu inayotokana na uhusiano wa karibu na wengine.You know nothing about money.
Hakika, Lakini ni kwa Muda mfupi, Wakati pesa inaweza kuleta furaha kwa Muda mrefu kidogo. Lakini Kwa sababu ulicompare kati ya Tendo la Ndoa na Pesa, Nimekubali. vipo vitu vingi Tofauti na Pesa Amini!Pesa zinaweza kuleta faraja na utulivu, lakini hazijitoshelezi kutoa furaha ya kudumu inayotokana na uhusiano wa karibu na wengine.
Tendo la ndoa linaweza kupunguza mfadhaiko na kuongeza hisia za furaha kwa kuchochea kutolewa kwa homoni kama vile oxytocin na endorphin. Hizi ni homoni zinazohusiana na furaha na ustawi wa kihisia.
Hahaa😀😂 vp unaweza kutupa mkasa kidogo ili tuamini Kwa Asilimia Kadhaa?Kadri unavyomkwepa mwanamke kimapenzi ndivyo anavyoendelea kuvutiwa shauku ya kuwa na wewe
And viceversa is true
#saikolojia
Hakika Amanikwanzaa Mengine Baadae!Bora kuwa na Amani kuliko kuwa na Fedha bila Amani. #