Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Huu ni uzi wa sisi wana jf kuunda team yetu ya soka humu na pia tujue Wewe unapenda team ipi na nafasi unayochezaga uwanjani, bila kusshau update za kila siku tukienda viwanjani kusakata soka.utani unaruhuwiwa
Naanza Mimi.
-natumia miguu yote.
Nacheza beki ya kulia, kushoto, na kati, bila kusahau namba sita. Yaani mie ni kiraka,!😂
Nachezaga jioni
Share nawe Mwana jf tuunde team
(wanawake wanaruhusiwa kama unajuwa kucheza)
Team yanga, Liverpool, Barcelona..
Pancho boy