Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
- #21
😂😂😂😂mshaanza wiziDah ..ikihitajika nafasi ya Mweka Hazina wa timu...mnikumbuke [emoji41]
Sent using Beretta ARX 160
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂mshaanza wiziDah ..ikihitajika nafasi ya Mweka Hazina wa timu...mnikumbuke [emoji41]
Sent using Beretta ARX 160
Shika hiyo kumi pia utavaa kumi#10 asee
We babu na huo uzee unadakaje jamaniMimi ni bonge la golikipa. Kwenye kudaka Ronaldo na Messi watasubiri sana
Team zangu
Bunju Veterans K Vant drinking club, Simba, Liverpool, Barcelona
Ng'ombe hazeeki mainiWe babu na huo uzee unadakaje jamani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ng'ombe hazeeki maini
[emoji106] [emoji106] [emoji122]Shika hiyo kumi pia utavaa kumi
Namba..
4-iko wazi
5-iko wazi
2-iko wazi
11-iko wazi
Angalia reply ya juu hapo kuna no ambazo ziko wazi uchukue
Ntakudaka wewe.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Labda kama unadaka vingine tofauti na mpira anaodaka manula
Safi mkuuMbili niachie mkuu
Sifa zangu nitatuma link ya youtube mkacheki baadhi ya vitu vyangu uwanjani
Ila kiufupi nasifika kama beki roho mbaya beki sijawah panda naishia mstari wa kati tu
Mipira hua inapita ila mtu hajawah pita
Sijawah cheza mechi sijapewa kadi
Sent using Jamii Forums mobile app
Aseeh wewe chukua kile kitengo Chetu cha figisuu.Mimi napiga beki 9
Sent using Damu ya Yesu
Ngoja nikuje unidake vizuri mchepuko wa dada anguNtakudaka wewe.
Aseeh wewe chukua kile kitengo Chetu cha figisuu.
Kumbuka hatuna msemaji
Sawa mkuu lakini hio beki 9 sasa!Hahaha mbona unanibania mkuu
Sent using Damu ya Yesu
Poa Mr pacho[emoji23][emoji23]utacheza tuu mkuu chukua nane sita imeshachukuliwa