Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Ukisikia majaribu... ndio haya sasaMkuu hapa kwenye Liverpool na barca utajigawa gawa vipi View attachment 1074879
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukisikia majaribu... ndio haya sasaMkuu hapa kwenye Liverpool na barca utajigawa gawa vipi View attachment 1074879
Bunju Veterans [emoji3]Mimi ni bonge la golikipa. Kwenye kudaka Ronaldo na Messi watasubiri sana
Team zangu
Bunju Veterans K Vant drinking club, Simba, Liverpool, Barcelona
Tatizo game zinafanyika asubuhi wakati nimeamka nazo... hicho tu baaasBunju Veterans [emoji3]
kwanini unatufungishaga sana we mzee?
tutakuweka chemba wiki ya mechi ukaembali na K VantTatizo game zinafanyika asubuhi wakati nimeamka nazo... hicho tu baaas
Unapiga ngapi mzeeMie kocha ,mchezaji
No 8 mko kama 9 hivi mkali ndo ataanzaKiungo mmoja namba 8 kisheti mwenye udambu dambu wa kutosha...
Enzi zangu Dumila huko nishawahi pewa mke na watoto wawili kwenye Kombe la mbuzi baada ya kufunga goli katikati ya uwanja...Maisha yanakwenda kasi sana.
Kumbe! Sasa Wewe mzee si utatuchomesha tukikupanga golini! 😂Tatizo game zinafanyika asubuhi wakati nimeamka nazo... hicho tu baaas
No kumi mpo 6 sasaMi namba 10 natokeaga bench...
Unapiga ngapi mzee
aseeh mzee umetisha sana chukua 11 nafasi chache10 au 11, ni mbaya hatari, msasani magunia, kawe packers wanajua shughuli yangu , nacheza huku nafundisha
MTC | 101| [emoji769]
10 au 11, ni mbaya hatari, msasani magunia, kawe packers wanajua shughuli yangu , nacheza huku nafundisha
MTC | 101| [emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenikumbusha tambo za draft mtu utamsikia Mimi nilijua draft mpaka nimekataa mke magomeni
aseeh mzee umetisha sana chukua 11 nafasi chache