Uzi wa team yetu ya mpira JF FC weka namba yako unayocheza,uwezo picha kama zipo

Wakati wa kipaji changu cha mpira nilikuwa mlinda mlango matata kuanzia shule ya msingi-O level-A level-chuo.

Chuo kwa ujumla nilikuwa namba mbili ila kwa class yetu nilikuwa namba moja.

Baada ya hapo sikuwahi jihusisha tena na mpira na nilikuja kuvunjika mkono kwa ajali ndo ndoto ikafia hapo.
 
Wakati wa kipaji changu cha mpira nilikuwa mlinda mlango matata kuanzia shule ya msingi-O level-A level-chuo.

Chuo nilikuwa namba mbili ila kwa class yetu nilikuwa namba moja.

Baada ya hapo sikuwahi jihusisha tena na mpira na nilikuja kuvunjika mkono kwa ajali ndo ndoto ikafia hapo.
Sawa mkuu makipa mko watatu
 
Mara ya mwisho mwisho nakipiga nilicheza gemu usiku kama saa tatu hivi usiku aisee was best experience....ila most of times nilkuwa nashangaa na kuwa excited na kucheza usiku...
 
sita mpo watatu mkuu
Lazima nianze hapo sijawahi toka uwanjani na jezi safi ,nacheza sita ya kizamani jezi chafu kama nimetoka kwenye matope,ng'e ndio nyumbani kwake mara ya mwisho km nilizokimbia uwanjani ni kama kutoka Dar to Moro.
 
Kama mkali kweli utaanza mkuu
 
Lazima nianze hapo sijawahi toka uwanjani na jezi safi ,nacheza sita ya kizamani jezi chafu kama nimetoka kwenye matope,ng'e ndio nyumbani kwake mara ya mwisho km nilizokimbia uwanjani ni kama kutoka Dar to Moro.
Hamna shida kocha ataangalia gemu inamuhitaji nani kulingana na timu pinzani. Kwa mfano mimi nilikuwa vizuri ktk defending lakini sikuwa vizuri ktk ku hold timu...mara nyingi huwa nilikuwa naficha hilo kosa kwa kupiga long passes kama za old Scholes
 
Back
Top Bottom