Uzi wa team yetu ya mpira JF FC weka namba yako unayocheza,uwezo picha kama zipo

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Huu ni uzi wa sisi wana jf kuunda team yetu ya soka humu na pia tujue Wewe unapenda team ipi na nafasi unayochezaga uwanjani, bila kusshau update za kila siku tukienda viwanjani kusakata soka.utani unaruhuwiwa
Naanza Mimi.
-natumia miguu yote.
Nacheza beki ya kulia, kushoto, na kati, bila kusahau namba sita. Yaani mie ni kiraka,!πŸ˜‚
Nachezaga jioni

Share nawe Mwana jf tuunde team
(wanawake wanaruhusiwa kama unajuwa kucheza)

Team yanga, Liverpool, Barcelona..

Pancho boy
 
Mimi ni bonge la golikipa. Kwenye kudaka Ronaldo na Messi watasubiri sana

Team zangu
Bunju Veterans K Vant drinking club, Simba, Liverpool, Barcelona
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kipa no 1 wa jf fc asprin.
Babu unamuongelea Messi huyu huyu??.
Tumeshakupata kipa babu..
 
Mimi bila jezi #10 mgongoni hujanipa hadhi yangu,kwa hyo wakati watu wakimwagika na michango yao hyo jezi ihifadhiwe kwanza.
Kwa kifupi Mimi ni Ball controller, Ball balance,Ball technician, Ball dancer!, False #9, the team player!
 
Sasa mniwekee mabeki imara kama Lukaku na Mo Salah ili nikiingia mchezoni nimeutwika wanibebe tusifungwe kizembe kama Man U
Usihofu Messi tutampiga kipepsi cha pua..
Me beki wa kushoto babu..
halafu usinywe babu utachomeshaaa πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…