Uzi wa ushahidi wa mambo ya kusikitisha katika uchaguzi mkuu wa 2020

kuna haja kuhoji bajeti ya nec bil 500 walizitumiaje ,pesa za kodi za wananchi 🙄
 
Download faster and share kabla wahutu hawajaifuta hii thread
 
Ushahidi wa kusikitisha zaidi kwangu na iwe kumbukumbu ya daima kwa vizazi vijavyo ni jinsi wanaoitwa wapinzani pamoja na kujimwambafy kuchukua nchi asubuhi na mapema kuishia kupokea kipigo cha mbwa koko kutokana na sera zao mbovu ambazo wananchi wamezikataa kupitia sanduku la kura, hakika watanzania sio wajinga.
 
Wasimamizi wa vituo kuzurumiwa pesa zao.

Mkurunzi wa jimbo flani mkoa wa kusin maghalibi aliamua kuwalipa wasimamizi wa vituo pesa pungufu tofauti na majimbo mengine katika mkoa huo. Ilikuwa hivi...
A

Msimazi mkuu: 85000
Msimazi msaidizi 1; 75000
2; 75000

Karani mwongozaji ; 45000.

B


Badal ya ,
Msimazi mkuu: 170000 kufanya jumla ya 255000

Msimamizi msaidizi 1&2 120000 jumla halali 195000

Karani mwongozaji 20000 kufanya jumla ya 65000

A ni pesa iliyopwa sikiu ya mwisho ikimaanisha kazi kuisha

B Ni pesa ili iyosalia kulipwa ambayo ililipwa baada ya maandamano.

NB: hii inaonyesha wazi selikikali ya jiwe ilijipanga mapema sna kwa mchuzo wa namna hi..
 
Aroo Aroo moderetor uuoni huu uzi kwamba unabambikizia na kupandikiza uongokwa jamii
 
Uchaguzi huu watanzania walikataa ushoga na kuchagua hapa kazi tu
Pole sana,ushoga upo Tanzania miaka maelfu yaliyopita.
Tunajidanganya sana sana,nipo kilometa 350 kijijini nje ya Dar na kuna mashoga wanaojulikana wazi.
Kichwa cha mbuni chini ya mchanga.
 

Ni ziaid ya UCHAFUZI ,Bilioni zaidi ya 500 serikali imepoteza kwenye UTOPOLO Huu wa Tar 27 na 28 Oct 2020.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…