Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Muulize tu atakuambia kama bado kumbukumbu anazo kichwani maana wasaliti hawachelewi kusahau vitu.Mkuu acha urongo basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulize tu atakuambia kama bado kumbukumbu anazo kichwani maana wasaliti hawachelewi kusahau vitu.Mkuu acha urongo basi
Kwahiyo hata la Mahera kujibu hoja za wapinzani (kwa niaba ya CCM) kuhusu madini nalo ni "URONGOO na GHILIBA kubwa"?Ushahidi mwepesi kwa tuhuma nzito!! Acheni propaganda za kuchafua nchi wakati mnajua kabisa masuala haya yamejaa URONGOOO na GHILIBA kubwa!
Hata Rais Trump analalamika ila Kwa ushahidi mweupe na jinsi Mahakama ilivyoukataa tusubiri tuone Rais Biden akipelekwa ICC!
Queen Esther