Uzi wa ushahidi wa mambo ya kusikitisha katika uchaguzi mkuu wa 2020

Kwahiyo hata la Mahera kujibu hoja za wapinzani (kwa niaba ya CCM) kuhusu madini nalo ni "URONGOO na GHILIBA kubwa"?
 
Matokeo yaliyotangazwa tume walikuwa nayo kabla ya upigaji wa kura
 
Yaani hawa wachungaji na masheikh wameyumbisha sana imani za watu hawamu hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…