Uzi wa vichwa vikali vya habari miaka 100 ijayo

Uzi wa vichwa vikali vya habari miaka 100 ijayo

Hahahah.....ngoja na mm nitoe yangu

C.E.O wa makampuni ya Droplex Industries aikopesha serikali ya Tanzania dolla milion 6 bila riba..., asema anahitaji kuwekeza zaidi kwenye kilimo na madawa ili kuweza kulitosheleza soko la Africa

[emoji23][emoji23][emoji23]uliza sasa huyo c.e.o ni naniii...., ni mimi hapaa....!!!! Leo niko mkavuuu sina kitu walahi ndoto hizii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah[emoji16][emoji16][emoji2772][emoji2772]
 
Shirika la anga la nchini Tanzania lasema chombo chake kinatarajia kufika katika sayari ya pluto mnamo siku tatu zijazo ambapo ni jaribio lake la nne bada ya fufanikiwa kupeleka vyombo vyake katika anga la sayari ya jupiter na kingine kutua katika sayari ya mars
 
62305200_121449669076731_506470712572116992_n.jpg
 
Hahahah.....ngoja na mm nitoe yangu

C.E.O wa makampuni ya Droplex Industries aikopesha serikali ya Tanzania dolla milion 6 bila riba..., asema anahitaji kuwekeza zaidi kwenye kilimo na madawa ili kuweza kulitosheleza soko la Africa

[emoji23][emoji23][emoji23]uliza sasa huyo c.e.o ni naniii...., ni mimi hapaa....!!!! Leo niko mkavuuu sina kitu walahi ndoto hizii
Hahha..nmechekaa sn..bt kweli..wazungu wanasemaa.mtu bilaa ndoto n kama mti usookuaa na miziz..utaangukaa..tu..hvo..pambana man..unaezaa usifikiee lengo hlo.bt ukalisogeleaa
 
Habari wakuu!

Huu ni uzi wa vichwa vikali vya habari kuanzia mwaka wa 100 kuanzia leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji41][emoji41]

Usipite bure, weka kichwa cha habari unachoona kitatokea kwa miaka hiyo

Ili vizazi vije vione utabiri huu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

1. TAIFA STARS YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA DUNIA KWA MARA YA KWANZA[emoji41][emoji41]

2.SIMBA SC YATWAA KOMBE LA KLABU BINGWA AFRICA KWA MARA YA TISA

3.TANZANIA YAUZA UMEME NCHI ZOTE ZA AFRICA MASHARIKI NA KATI

4.NI MARUFUKU KUINGIA KATIKATI YA JIJI LA DODOMA KAMA HUJAVAA SUTI[emoji41][emoji41]

5.YANGA SC YATWAA KOMBE LA SHIRIKISHO KWA MIKWAJU YA PENALTY DHIDI YA WYDAD ATHLETICS 5-4

6.WABUNGE WAKATAA KUPITISHA SHERIA YA KURUHUSU MAPENZI YA JINSIA MOJA KWA MARA YA 6 MFULULIZO

7.ZANZIBAR KISIWA BORA ZAIDI DUNIANI

8.WANAWAKE WARIDHIA KUOLEWA BILA MAHALI [emoji7][emoji7]

9.SOKO LA MAGARI MAPYA TANZANIA LASHUKA, V8 SASA INAUZWA 260,000/=

10. MAREKANI YAPOKEA MSAADA WA $16 BN KUTOKA SERIKALI YA TANZANIA [emoji1320][emoji1320]

Tuendelee........[emoji116][emoji116][emoji116]
Iyo tisa na kumi sahau milele hata kama gari litatengenezwa hapa
 
[emoji848][emoji848][emoji848]
Dar es salaam yakumbwa na sunam watu wote wafaliki dunia baada ya kukithir kwa ushogo...
Tanzania yaiwekea vikwazo vipya marekani baada ya kuruhusu wakimbizi wengi kuhamia tanzania
 
Back
Top Bottom