Mmenyakunde
Member
- Aug 18, 2018
- 96
- 108
Saud Arabia yaongoza Kwa uuzaji Wa Nyama bora ya Nguruwe Duniani.
[emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah[emoji16][emoji16][emoji2772][emoji2772]Hahahah.....ngoja na mm nitoe yangu
C.E.O wa makampuni ya Droplex Industries aikopesha serikali ya Tanzania dolla milion 6 bila riba..., asema anahitaji kuwekeza zaidi kwenye kilimo na madawa ili kuweza kulitosheleza soko la Africa
[emoji23][emoji23][emoji23]uliza sasa huyo c.e.o ni naniii...., ni mimi hapaa....!!!! Leo niko mkavuuu sina kitu walahi ndoto hizii
Hahha..nmechekaa sn..bt kweli..wazungu wanasemaa.mtu bilaa ndoto n kama mti usookuaa na miziz..utaangukaa..tu..hvo..pambana man..unaezaa usifikiee lengo hlo.bt ukalisogeleaaHahahah.....ngoja na mm nitoe yangu
C.E.O wa makampuni ya Droplex Industries aikopesha serikali ya Tanzania dolla milion 6 bila riba..., asema anahitaji kuwekeza zaidi kwenye kilimo na madawa ili kuweza kulitosheleza soko la Africa
[emoji23][emoji23][emoji23]uliza sasa huyo c.e.o ni naniii...., ni mimi hapaa....!!!! Leo niko mkavuuu sina kitu walahi ndoto hizii
Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wa 8 wa nchi zenye nguvu ya Nyuklia duniani
Hii kali. Mnyarwanda agome kulaALIYEKUWA RAIS WA TZ AWAMU YA TANO AGOMA KULA GEREZANI IKIWA NI BAADA YA MIAKA 7 BILA KESI YAKE KUSIKILIZWA
Iyo tisa na kumi sahau milele hata kama gari litatengenezwa hapaHabari wakuu!
Huu ni uzi wa vichwa vikali vya habari kuanzia mwaka wa 100 kuanzia leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji41][emoji41]
Usipite bure, weka kichwa cha habari unachoona kitatokea kwa miaka hiyo
Ili vizazi vije vione utabiri huu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
1. TAIFA STARS YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA DUNIA KWA MARA YA KWANZA[emoji41][emoji41]
2.SIMBA SC YATWAA KOMBE LA KLABU BINGWA AFRICA KWA MARA YA TISA
3.TANZANIA YAUZA UMEME NCHI ZOTE ZA AFRICA MASHARIKI NA KATI
4.NI MARUFUKU KUINGIA KATIKATI YA JIJI LA DODOMA KAMA HUJAVAA SUTI[emoji41][emoji41]
5.YANGA SC YATWAA KOMBE LA SHIRIKISHO KWA MIKWAJU YA PENALTY DHIDI YA WYDAD ATHLETICS 5-4
6.WABUNGE WAKATAA KUPITISHA SHERIA YA KURUHUSU MAPENZI YA JINSIA MOJA KWA MARA YA 6 MFULULIZO
7.ZANZIBAR KISIWA BORA ZAIDI DUNIANI
8.WANAWAKE WARIDHIA KUOLEWA BILA MAHALI [emoji7][emoji7]
9.SOKO LA MAGARI MAPYA TANZANIA LASHUKA, V8 SASA INAUZWA 260,000/=
10. MAREKANI YAPOKEA MSAADA WA $16 BN KUTOKA SERIKALI YA TANZANIA [emoji1320][emoji1320]
Tuendelee........[emoji116][emoji116][emoji116]
Hongera yake kwa aliepiga picha hiii!!!
Dar es salaam yakumbwa na sunam watu wote wafaliki dunia baada ya kukithir kwa ushogo...
Tanzania yaiwekea vikwazo vipya marekani baada ya kuruhusu wakimbizi wengi kuhamia tanzania